Wednesday, September 10, 2014

Bob Haisa uso kwa uso na Bi Shakila (2)

"Nakumbuka siku ya pekee ambayo naweza kuiita ni siku yetu na shakira ilijitambulisha tarehe 15 Mwezi wa nane saa 6 na nusu usiku tulipokua mwanza kwenye mizunguko ya kikazi na producer wangu king fenya  tuliamua kutembelea pale Villa ParkTulipokelewa vyema na meneja akatuchukua ndani ya ukumbi na kutupatia huduma za vinywaji kisha katuacha na kuendelea na majukumu ya kikazi, tulifanya kilichotupeleka pale kwa kuisambaza cd yetu yenye wimbo wangu mpya ujulikanao kwa jina 'LAMSONDO'kisha tukawepo pale kuhakikisha dj anautambulisha mara ghafla tulisikia dj akitangaza kwa mbwenbwe na tashtiti kwamba,sasa mabibi na mabwana muda umetimia na Bi shakira ameshafika ukumbini kwa kutupa burudani, khaa. .niliguna hukunikimgeukia king fenya inamaana leo Bi shakira yupo hapa fenya akaniuliza ni nani huyo nikamjibu ni mwanamziki mkongwe na ninamiadi nae kufanya kolabo, tayari tukaanza harakati mpya za kumsaka bishakira huku tukishauriana wimbo wa kufanya nae mara nikaguswa begani Anko shkamoo nilipogeuka nikamuomna mpwa wangu Grace akaniambia tuko na Bi shakira nikabaini kweli wako pamoja tukasalimiana kisha nikamkumbusha bi shakira ahadi yetu.
Ingawa Ilikua Ghafla Bi Shakila Hakuweka Pingamizi Na Mikakakati Ikaanza Kwa Kukaa Kikao Maalum Na Bishakila Pamoja Na Wajumbe Alokuanao Ambapo Tuliafikiana Kazi Ya Kurekodi Ifanyike Siku Iliyofuata Yaan Jumamos Bi Shakila Akaahirisha Safari. Muda Ulipofika Bi Shakila Na King Fenya Wakakabiliana Na Kuufungua Wimbo Wangu Uliokua Jikoni Ujulikanao Kwa Jina La Ngoma Inogile Kwakua Mimi Nilikua Nimeshafanya Yangu Ilikua Muda Mzuri Kwa Dadaangu Mamaangu Bi Shakila Aka Mama Mape Nae Akafanya Yake Na Ladha Ya Ngoma Kupanda Chati Ya Juuuu,  Naomba Niwashukuru Wote Waliotusuport Katika Harakati Hizo",bob Haisa Yes
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support