Friday, April 12, 2013

ALBUM YA LADY JAYDEE KUTOKA HIVI KARIBUNI

Mwanamuziki Lady JayDee ambae pia anamiliki Machozi Band, anatarajia
kuingiza album yake mpya sokoni hivi Karibuni.
Jaydee ambae kwa sasa anafanya vizuri na track yake ya Joto Hasira akiwa amemshirikisha rapper Prof. Jay anatarajia kuingiza sokoni album yake hiyo ambayo itakuwa ni ya sita tangu aanze muziki.
Album hiyo itakwenda kwa jina la ''Nothing But Truth''.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support