Monday, April 29, 2013

COMING SOON:AIKA FT NAHREEL & WEESTAR (NAVY KENZO)-HOLD ME BACK

NAVY KENZO ni kundi jipya la muziki kutoka TANZANIA likiundwa na wasanii
watatu, AIKA, NAHREEL na WEESTAR ... Kwa pamoja they are about to DROP their new track ... HOLD ME BACK ...
If U remember, Wanamuziki AIKA pamoja na NAHREEL walikuwa katika kundi la Pah One na kujitoa kuanza kufanya kazi kama Solo Artists ...
NAHREEL na AIKA toka wajitoe huko walichia ngoma yao inayokwenda kwa jina la Usinibwage na sasa hii mpya wakiwa ndani ya kundi jipya >> Navy Kenzo ambapo ndani ya kundi hilo ameongezeka Weestar na kuwa watatu ...
Kundi hili sasa liko mbioni kuachia kazi yake ambayo ndio itakuwa ni ya kwanza kuitoa tangu kuanzishwa kwa kundi hili, ambayo inakwenda kwa jina la HOLD ME BACK ...
Kaa tayari kwa ngoma hii ...
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support