Sunday, April 28, 2013

COMING SOON:AY FT. FID Q-JIPE SHAVU

Mwanamuziki kutoka Tanzania, Ambwene Yessayah a.k.a AY  anatarajia kuachia
ngoma yake nyingine hivi karibuni ... AY ambae bado anafanya vizuri na video zake kama SPEAK WITH YA BODY, PARTY ZONE na MONEY zinazopigwa katika televisheni kubwa duniani kama Channel O na TRACE TV ya Ufaransa soon ataachia ngoma yake mpya itakayofahamika kama JIPE SHAVU ... JIPE SHAVU is the next single from AY akiwa amemshirikisha mshikaji wake wa karibu maarufu kama Fid Q from MWANZA City.Ngoma hiyo Imetengenezwa na Producer Q katika studio za MPO AFRICA zilizopo maeneo ya mikocheni Jijini Dar es salaam, AY anasema ngoma hiyo itaachiwa rasmi jumatano hii katika sehemu tofauti pia amewataka mashabiki wake wakae tayari kupokea kazi nyingine bora kabisa kutoka kwake.





Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support