
Msanii wa R&B na Hip-Hop
T-Pain ameamua kutoka na mwonekano
mpya kabisa ambapo amenyoa rasta
ndefu alizokuwa nazo ambazo zilikuwa moja ya alama za utambulisho wake .
T-Pain hajatoa sababu za kuamua
kunyoa rasta na alionekana kwa mara ya kwanza akiwa bila rasta hizo
kwenye uzinduzi wa asasi ya misaada inayoongozwa na mama mzazi wa msanii
huyo.

0 comments:
Post a Comment