Thursday, April 25, 2013

JOH MAKINI KATIKA SHAUKU KUBWA YA KUFANYA KAZI TENA NA PRODUCER DUNGA

Rapper kutoka R City [ARUSHA] maarufu kama Joh Makini ambae hadi sasa
anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Bye Bye, Sijutii, Sanaa na nyinginezo ambazo ameshirikishwa kama Nje Ya Box ambayo inafanya vizuri zaidi katika radio station mbali mbali amekuwa na shauku ya kurekodi tena na Dunga ...
MWAMBA WA KASKAZINI ameonekana kuwa yupo katika mchakato kuandaa ngoma yake nyingine mpya ambayo anatarajia kufanya chini ya Producer huyo kutoka MANDUGU DIGITAL ...
Joh [@JohMakini] alitweet kwa kuandika " Alfajiri ya kesho mtamboni na Dunga Mandugu digital cant wait...#mweusi " ... aliandika hayo jana kupitia ukurasa wake wa twitter.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support