Tuesday, April 16, 2013

ONA PICHA ZA "MUZIKI GANI" VIDEO YA NAY FT. DIAMOND

 Video ya ngoma mpya ya Ney Wa Mitego akimshirikisha Diamond Platnumz yaanza
shooting ...
Ngoma hiyo iliyofanywa na Producer Mr. T Touch ikijulikana kama MUZIKI GANI imeanza matengenezo hayo kwa kasi ...
Wimbo huu ambao unaonekana kuendelea kupendwa sana na mashabiki  umeanza kurekodiwa video yake ambapo moja ya shot zake ni hii pichani inayowaonesha na warembo wakionekana kama kucheza mchezo kamari.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support