Sunday, April 28, 2013

COMING SOON:SHATI MNAZALETH FT.BOB HAISA-LEO,KESHO NA MILELE

Msanii kutoka Rocky City (Mwanza) mwenye miondoko ya Hip Hop, Benjamin Shati a.k.a Shati Mnazaleth yuko mbioni kuachia nyimbo yake mpya kabisa itakayofahamika
kama Leo,Kesho na Milele ambayo amemshirikisha Msanii Mkongwe wa Miondoko ya Mduara Bob Haisa.
Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa katika Studio ya Zoo Records chini ya Producer Dr Eddo itaanza kusikika mwezi May Mwanzoni.
Hii  itakuwa ngoma ya kwanza kabisa kwa Msanii huyu kuanza kusikika,Shati Mnazaleth amewataka mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kukaa mkao wa kula maana ni bonge la ngoma.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support