Wednesday, April 24, 2013

(PHOTO) ONA STYLE MPYA YA NYWELE ZA TUNDAMAN

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection maarufu kama Tunda Man ameonekana kubadili muonekano wake wa zamani na sasa kuja na mpya ....
Muonekano huo mpya wa style ya nywele zake [pichani] umeonekana kuwashangaza watu kwa jinsi ulivyokuwa wa kipekee ...
Haijafahamika ameutoa wapi na ni kwa ajili gani anautumia, ila hivi ndivyo anavyoonekana sasa Tunda Man kichwani kwake.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support