Sunday, May 26, 2013

ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA FILAMU MPYA YA HEMEDY NA MONALISA 'ALL ABOUT ME'


Picha hizi ni baadhi ya scenes zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa
filamu mpya ya Hemedy na Yvonne Cherry a.k.a Monalisa iitwayo All about me.Waigizaji wengine kwenye filamu hiyo ni pamoja na Deogratius Shija,Husna,Niva,Elizabeth,Mama Tekla na wengine wengi.Filamu hiyo inaongozwa na Deogratius Shija.


















Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support