Wednesday, May 15, 2013

MSIMU MWINGINE WA BIG BROTHER AFRICA KUANZA HIVI KARIBUNI

The Biggest Reality Show In Africa ijulikanayo kama Big Brother Africa, inakaribia
kuanza tena hivi karibuni kupitia televisheni yako ...
Huu utakuwa ni msimu wa NANE tangu kuanzishwa kwa show hii ambapo this time around wameipa jina la ''Big Brother Africa'' [The Chase] , wakati mwaka jana iliitwa Big Brother Africa [Star Game] ...
Reality Show hii inatarajiwa kuanza mapema Jumapili ya wiki ijayo ambayo itakuwa ni tarehe 26 May mwaka huu, ambapo zawadi iliyopangwa kwa mshindi wa shindano hilo ni kiasi cha dola za kimarekani $3000.000 .
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support