Wednesday, May 29, 2013

DR ATHIBITISHA HALI YA M2THEP KUENDELEA VIZURI NA KUWA ANAONGEA KWA SASA

habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha
kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizuri, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea
hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP
hapa anazungumzia kilichosababisha ugonjwa huo wa kumfanya afikie kuwa ICU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support