Saturday, May 18, 2013

DOWNLOAD MECCACHEKA FT. G-NAKO-SOMA (AUDIO)

Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni
"MECCACHEKA" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza HAPA .......http://www.hulkshare.com/dd93xone44jk
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support