Friday, May 17, 2013

WEUSI KUMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX NDANI YA MAISHA CLUB

Jumapili hii ni siku muhimu sana kwa Weusi na mashabiki, kwa sababu ndio siku watakayomtoa Mama Yeyoo nje ya box kila mtu amuone, lakini pia haitakuwa kama ilivyozoeleka kwa wengi kuchana juu ya wimbo au juu ya beat chorus, ila siku hiyo itakuwa ni full live band ambayo itakuwepo pale kwa ajili ya kupiga nyimbo zao za hiphop. Ben Pol, Barnaba, Petter msechu  wote ndani..
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support