
Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya
Hamisi Mwinjuma a.k.a‘Mwana FA’ akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4.

Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Hamisi Mwinjuma a.k.a ‘Mwana FA’ (kushoto) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar jijini Dar es Salaam wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya Hamisi Mwinjuma a.k.a ‘Mwana FA’ (wa tatu kushoto) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar (watatu kulia) jijini Dar es Salaam wakati kampuni hiyo ikimtangaza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. Wengine pichani ni Mamodel wa Samsung (kulia na kushoto), Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt (wapili kushoto) na Sylvester Manyara ambaye ni Meneja wa Biashara ya reja reja.

Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar akizungumza.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya Hamisi Mwinjuma a.k.a ‘Mwana FA’ (katikati) akitoa neno la shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galax 4. Simu ambayo inaongoza kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imesha uza simu Milioni 10 duniani kote. Kulia ni Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt.
0 comments:
Post a Comment