Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWS:LANGA AFARIKI DUNIA

Langa Kileo a.k.a Langa, msanii wa Hip Hop Tanzania amefariki
dunia leo hii majira ya saa 10 za jioni katika hospitali ya muhimbili jijini Dar.Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.  

Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara a. k.a Shaa, ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo fleva nchini Tanzania.
                        Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support