Wednesday, June 26, 2013

MOVIE MPYA YA WOLPER NA RAY KUTOKA HIVI KARIBUNI

Waigizaji waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi ama
Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location wakishoot movie yao mpya ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Katika picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za mtandao mmoja wa kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.
“Siye tena kazini new movie, nacheza.me and broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
Filamu hii inatengenezwa na kampuni ya RJ company iliyoshinda tuzo ya best production house kwenye tuzo zilizotolewa na kampuni ya usambazi wa filamu Tanzania Steps Entertainment Limited.



Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support