Friday, June 14, 2013

RATIBA YA MAZISHI YA LANGA KILEO

Ratiba ya mazishi ya Langa Kileo a.k.a Langa itakuwa kama ifuatavyo;

Msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp ya AAR zamani kulikuwa na Ofisi za Benchmark Production.
Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaburi ya kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi jioni.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support