Wednesday, June 5, 2013

MAREHEMU ALBERT MANGWEHA A.K.A NGWAIR AAGWA NA MAELFU YA WATU LEADERS CLUB

 Wadau mbalimbali wa muziki wa Bongo Flava wakipita kutoa heshima za
mwisho kwa msanii Albert Mangweha a.k.a Ngwair katika viwanja vya Leaers club Dar es salaam, Ngwair alifariki wiki iliyopita huko Johannesburg Afrika Kusini..R.I.P Ngwair.


 Mwili wa marehemu Albert Mangweha a.k.a Ngwair ukiwa unaingizwa kwenye gari tayari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Morogoro kwa ajili ya maziko..R.I.P Ngwair.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support