Wednesday, June 5, 2013

MAREHEMU ALBERT MANGWEHA AAGWA NA MAELFU VIWANJA VYA LEADERS CLUB LEO JUMATANO 5/6/2013

 Hii ni kamati ya msiba wa marehemu Albert Mangweha ikiongozwa na
mwenyekiti wake Adam Juma akitoa maneno ya shukrani kwa watu wote waliojitokeza katika viwanja vya Leaders Leo Jumatano kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha. Na Baada ya kutoa heshima ya mwisho mwili wa marehemu Albert Mangweha umesafrishwa kupelekwa Morogoro kwa ajili ya maziko ambayo yatafanyika kesho Alhamisi 6/6/2013 huko Kionda Morogoro ambako ndio kwao aliko mama yake mzazi..R.I.P Ngwair.

                                            









Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support