Thursday, June 13, 2013

PHOTOS:TID AFANYA MAHOJIANO NA SPORAH SHOW NCHINI UINGEREZA

Msanii kutoka Tanzania TID ambae kwa sasa yupo katika ziara yake ya
kimuziki jijini London, Uingereza ambapo hadi sasa amesha piga show kadhaa katika sehemu tofauti zilizopo nchini humo. .Hivi karibuni alipata mualiko wa kufanya mahojiano katika kipindi cha Sporah Show ambacho huandaliwa na kurushwa kutoka London nchini Uingereza. Hizi ni baadhi ya picha zikimuonesha akifanya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi hicho.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support