Monday, June 10, 2013

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC



Wimbo bora wenye vionjo vya asili: Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto
Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava: Ben Pol
Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya: Man Walter

Video bora ya mwaka: Baadaye – Ommy Dimpoz
Wimbo bora wa Bongo Pop: Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee
Wimbo bora wa kushirikiana/Kushirikishwa: Me and You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee
Mtunzi bora wa mashairi Bendi: Chalz Baba
Wimbo bora wa mwaka: Dear God – Kala Jeremiah
Msanii bora wa Hip Hop: Kala Jeremiah
Mtunzi bora wa mashairi hip hop: Kala Jeremiah
wengine ni pamoja na Diamond ambae aliondoka na  tuzo ya msanii bora wa kiume na msanii bora wa kiumee bongo fleva. msanii anaechipukia ''Ally Nipishe'', mtayarishaji anaechipukia ''Mensen Selector, wimbo bora wa hiphop ''nasema nao'' Ney wa mitego, wimbo bora wa Zouk/Rhumba ''ni wewe'' Amini, wimbo bora wa Africa mashariki ''Valu valu'' Chameleon, msanii bora wa kike 'Lady Jay Dee'. 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support