Wednesday, June 5, 2013

WATU MBALIMBALI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA A.K.A NGWAIR





 Watu mbalimbali ambao wameshatoa heshima za mwisho kwa marehemu Albert Mangweha a.k.a Ngwair katika viwanja vya Leaders club Dar Es Salaam..R.I.P Ngwair.
Wadau wa muziki wa Bongo Flava, ndugu, jamaa na marafiki wakipita mbele ya jeneneza la marehemu Albert Mangweha a.k.a Ngwair kutoa heshima za mwisho katika viwanja vya Leaders Club Dar Es Salaam leo Jumatano 5/6/2013. Ngwair alifariki wiki iliyopita huko Afrika Kusini..R.I.P Ngwair.



Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support