Monday, June 3, 2013

HEMED SULEIMAN,JACKLINE WOLPER NA IZZO BUSINESS NDANI YA MOVIE MOJA 'MY PRINCESS'

Waigizaji maarufu wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper na Hemed Suleiman
wameigiza pamoja na mwana Hip Hop maarufu kutoka Mbeya Emmanuel Simwinga a.k.a Izzo B kwenye filamu inayoitwa My Princess.
Katika filamu hiyo Hemed na Jackline ni wapenzi ambao bado ni wanafunzi wa chuo, lakini Izzo B nae anampenda sana Jackline Wolper.fuatilia filamu hii upate kisa kamili.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support