Monday, April 8, 2013

ANGALIA PICHA ZA LULU AKIWA KATIKA KABURI LA KANUMBA

Jana ilikua ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha marehemu Kanumba, ambae
alikua anafikisha mwaka mmoja tangu alipofariki, mastar wa movie wengi walikuwepo katika kuhakikisha shughuli hiyo inaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kutembelea kaburi la Kanumba.


Lulu akilia juu ya kaburi la Kanumba 
Lulu katika kaburi la Kanumba
Irene Uwoya
Lulu na mama yake 
Lulu na mama yake Kanumba
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support