Wednesday, April 3, 2013

COMING SOON:NYIMBO MPYA YA BLACK RHINO



 Msanii Mwenye hit ya ''Taking Over" Black Rhino anategemea kuachia  nyimbo yake mpya hivi karibuni,Black Rhino alisema alikaa kimya kidogo akijiandaa na ujio
wake mpya kabisa so amewataka mashabiki wake kukaa tayari kwa track yake nzuri na kali.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support