Wednesday, April 10, 2013

JAGGAR KUJA NA SOME DAYZ HIVI KARIBUNI

Baada   ya  kufanya   poa   na  wimbo  wake  wa  sauti  zetu  aliomshirikisha
  Belle  9,   Mkali  wa  Hip  Hop  toka  Moro  Abdul  Jaggar  maarufu  kama  Jaggar,  anataraji  kuachia  wimbo  wake  mpya  unaoitwa,  Some  Dayz   aliomshirikisha  mwanamuziki  Bupe  toka  katika  studio  za  Mahewa  Record  za  hapa  Moro chini  ya  producer  Matajili  Wille  wa.
   Jaggar  amesema  wimbo  kwa  sasa  upo  tayari  na  wanamalizia  vipande  vidogo  vya  video  ambao  mpaka  wiki  ijayo   unaweza  kuwa  hewani.  '' nataraji  mpaka  wiki  ijayo naweza  kuachia  wimbo  wangu  mpya  ambao  kwa  sasa  upo  kwenye  process  za  video  ila  audio  tayari  kaka imekamilika   nimefanya  kwa  ndugu  yangu  Matajili  wa  Mahewa  Record nilipofanya  wimbo  wangu  wa  kwanza''  Alisema  Jaggar. 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support