Friday, May 10, 2013

COMING SOON:M-RAP FT DEDDY-ATTENTION

Msanii kutoka katika Label ya B-Hitz maarufu kama M-Rap Lion anatarajia
kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni..M-RAP ambae anafanya vizuri na ngoma zake za DESTINY, TUNA-MAINTAIN pamoja na kundi zima la BHitz ataachia ngoma yake nyingine  inayoitwa... ATTENTION.
M-RAP ambae pia alichana vizuri kwenye ngoma ya DJ CHOKA, PRESS PLAY akisimama vizuri kwenye VERSE ya kwanza, Katika ngoma hiyo ambayo amempa tena shavu msanii kutoka BHitz akijulikana kama DEDDY ... Ngoma hii itakuwa Produced na Producer Pancho Latino pamoja na Hermy B wote kutoka BHitz ...

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support