Friday, May 10, 2013

COMING SOON:MIKE TEE FT. SOPRANO-UNANITENGA SANA

 Mike Tee a.k.a Mnyalu amerudi tena kwenye muziki ... Ambapo sasa yuko mbioni
kuachia kazi yake mpya itakayokwenda kwa jina la "UNANITENGA SANA"...
Mdundo wa ngoma hii umetengenzwa na Producer Mbezi kutoka katika studio ya Smart Music, ambapo msanii alieshirikishwa kwenye ngoma hii ni mwanamuziki Soprano Music ...Kaa tayari kwa ngoma hii.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support