Monday, April 8, 2013

COMING SOON:NGOMA MPYA YA IZZO B ''LOVE ME"

Rapper kutoka Mbeya City, Izzo Bizness baada ya kuona mashabiki wanazidi kukubali kazi
zake katika sanaa ya muziki,sasa yuko tayari kuachia ngoma yake nyingine mpya itakayokwenda kwa jina laLOVE ME.Izzo Bizness katika ngoma hiyo mpya anayotarajia kuichia siku za hivi karibuni amewapa collabo wasanii wawili ambao ni Barnaba na Shaa,chini ya producer Nahreel na mixing Master J kutoka Mj record.Kwa hiyo wale mashabiki wa Izzo B kaeni tayari kwa ujio huo mpya.…
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support