Monday, April 8, 2013

MAUA SAMA KUPIGA COLLABO NA BEN POL

Star wa ngoma ya SO CRAZY II,Maua Sama alifika Bongo, Dar Es Salaam na kitu alichokianzia mpaka sasa ni kurekodi bonge ya ngoma na
mkali wa RnB Bongo, Ben Pol.
Maua,ambaye anasoma MUCCOBS [Moshi] alifika Dar na kusikika kwenye Interviews tofauti pamoja na show ambayo ameshafanya ... amekuwa akimtaja Ben Pol kwamba ni Msanii wa pekeeTanzania na alitamani kufanya nae ngoma .
Maua ambae yupo katika label inayosimamia kazi za muziki, LIFE LINE INC. iliyo chini ya MwanaFA amefanya ngoma hiyo siku chache zilizopita na Ben katika studio za THT chini ya Producer Ema The Boy.So kaa tayari kwa ngoma hiyo....
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support